BOOKS

KITABU: Usiishie Njiani, Timiza Ndoto Yako.

Kitabu hiki ni maalumu kwako wewe ambaye unataka ndoto yako itimie.

Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye bado hujapata mwelekeo wa Maisha yako. Utapata mwongozo kwa ajili ya kujitambua.

Unapata Nini kwenye Kitabu?

Utafahamu Umuhimu wa Maono kwenye Maisha yako.

Utafahamu maswali 8 ambayo unapaswa kujiuliza na majibu yake ili uweze kusonga mbele.

a/. Kujitambua Wewe Ni Nani

b/. Kutambua Upo Duniani kwa Kusudi Lipi.

c/. Kujua Unapotakiwa kwenda.

d/. Kuwatambua Watu Wa Muhimu Kwenye Safari Yako.

e/. Kuzitambua Tabia Unazozitaji Kila Siku

f/. Utatambua Maarifa Gani Yanakufaa Zaidi.

Kitabu Hiki kinamfaa mtu ambaye ana ndoto kubwa na anatamani itimie. Kinamfaa mtu ambaye bado hajui kwanini yupo Duniani, na hana maono yeyote yale. Kitabu hiki kinakufaa sana wewe ambaye unatamani kutimiza ndoto yako.

Utaweza, Kutimiza Malengo Yako Kirahisi zaidi, Kuwajua Marafiki Sahihi, Kuishi Maisha ya Ushindi, Kurejesha Upya Nguvu Zako, Kufika katika Kilele cha Mafanikio,

Kinapatikana kwa kwa bei ya Tsh 5,000/= (elfu 5). Walioko mikoani tuwasiliane kabla hujalipia. Namba za Malipo 0654 726 668 Tigopesa.

BONYEZA HAPA KUPATA VITABU VINGINE

Leave a Comment