Audio

Martha Mwaipaja – Mambo Yamebadilika (Official Music Audio)

Martha Mwaipaja – Mambo Yamebadilika (Official Music Audio)

6 Comments

  • UELEKEVU WAKO,UVUMILIVU,UCHA KIUNGU NA UPOLE WAKO KAMA MTUMISH WA NYIMBO ZA INCHILI NA HASA BUSARA WAKO.HUNIFANYA NIPENDE NYIMBO ZAKO KUPITA ZINGINEZO ZOTE.HASA WIMBO KAMA NAIONA KESH NA KUNA VITU MUNGU ALOIVIKUBALI NDIPOSA VIMEKUWA TIMIZO YA MUNGU.MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA hUlETA UFUNUO WA NYIMBO ZA KIROHO HASA KAMA ZOTE UMePATA KUVIIMBA.NAKUHENSI NA TENA NAKUOMBEA UENDELEE NA JINSI MUNGU ANAVYO KUKADHIRIA NA KUREHEMU.NYIMBO ZAKO HAZINA MUHIGO NA ZA WATU WENGINE.NI ZA KIPEKEE NA ZA KUTIA FORA.NAKUTAKIA SIKU NJEMA TENA KABISA.

  • kusali na kufunga kwingi na kunyenyekea mbele ya mungu kila wakati,huleta ufunuo wo nyimbo za injili zenye mvuto sana natena huhuisha myio ya watu wote. ni desturi kuwa mtu anapoinuliwa,huzuiliwa sana na mabodiguard kiasi cha kuwa hata wanyonge wenye nia njeme ya kukusalimia wasikufikie.hilo huleta kera kwa mungu ndiposa yesu akasema,nilikuja kwako nikabisha mulango haukunifulia,nilikuomba maji haukunipa.yesu hutukujia kwa njia mingi.hata maskini aweza kukwalika kwa kikombe cha chai rangi bila sukari no usisema mimi siwezi kuingia kwa vyumba ovyo ovyo.huenda usukunywe kitu pale lakini pengine mungu anataka uwache mkono wabaraka kwa wanao sitahili kwa ukarimu wao.angalie vile yesu alipo sifu mwanamke mkongwe aliyetoa denari yake yote kwa sadaka ya yesu. nakupenda martha ndiposa nataka uendelee kuwa shujaa wa injili ya yesu.

  • MWENZANGU MWENYE HESHIMA NA UPOLE UNAVYO WEKA MAWAZO YANGU SAWA,NATAKA KUKU JUZA KWAMBA NIFURAHA TELE KWANGU KUTIMIZA HALI YAKUJUA MAHALI UPO NA HALI YA WAZAZI WETU.KITU CHEMA KANDO NA KUSIFIWA,HUTWAWALIWA ILI KIWE CHA MANUFAA MARADUFU.MIMI NATOKA MAHALI PANAPO ITWA,CHESAMISI HIGH SCHOOL WESTERN PROVINCE.HUSHUKIA WEBUYE HALAFU NACHUKUA GARI YA KWENDA LUGULU KITALE HIGHWAY.HAPO NASHUKA MAHALI PANAITWA KAMUKUYWA MARKET.HAPO NDIPO NACHUKUA BODA BODA 50/ HAD NYUMBANI KWETU,KWA BABU YANGU AMBAYE ANAITWA PATRICK WAFWAMONI AU KWA KINA METRY WALIAULA MY BROTHER.ANAJULIKANA SANA KAMA MWANA KWAYA SUPAVU NA TEN MCHEZA MPIRA SHUPAVU.MAMA YANGU ANAITWA DINAH NEKESA SIMIYU.

  • MAISHA MAZURI NI UPENDO MZURI NA TENA WAKURIDHISHA KILA MAHALI.MAWAZO YA KUFARAJIANA NA KUPANUA MIPAKA YA MAONO YETU.HILO NDILO KUSUDI LA UFANISI USIO WAKUIGA WENGINE.NAFURAHIA MAWASIA YAKOMEME KWANGU NAMI NITATILIA MKAZO YATIMIE WAKATI WA HIVI PUNDE.

Leave a Comment