Audio

Mchungaji Peter Mitimingi-Usikubali Kuoa/Kuolewa na Mtu Ambaye Umeunganishiwa na Humpendi/Hakupendi | Audio

Dkt. Peter Mitimingi alikuwa ni Mwanzilishi,Mchungaji na mwalimu wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)”

Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG kama mchungaji msaidizi na baadaye kuanzisha huduma ya injili vijijini.

Tunasikitika sana kuondokewa na mtumishi huyu wa Mungu ambaye alikuwa amejaa hazina ya mafundisho kwa ajili ya kizazi hiki. Tunapenda kutoa pole kwa watu wote walioguswa na msiba huu mzito.

Mchungaji huyu ametuachia urithi wa vitabu pamoja na mafundisho yake mengi aliyokuwa anafundisha kwenye mitandao ya kijamii.

Unaweza kutembelea Youtube Channel yake kujifunza https://www.youtube.com/channel/UCKU5E0D28yPaRZP2c3B5vhw

Mchungaji Peter Mitimingi-Usikubali Kuoa/Kuolewa na Mtu Ambaye Umeunganishiwa.

Leave a Comment