Waimbaji wa gospel jitahidni kuweka matamasha ya praise and worship mfano nchi ya South Africa waimba gospel wanaweka matamasha kwa kila weekend na yenye kiingilio kabisaaa maana inakua ni event kubwa .sasa Waimbaji wa gospel wa nchi yangu tuko nyuma @ ebu Mungu atutie nguvu mnamuaibisha Mungu wenu maana wanamuziki kama Diamond anafanya shoo utaambiwa kiingilio ni 50000nawatu wanaingia na ticket zinaisha juzi tulikua na Koffee olomide ni msanii wa nyimbo za muziki wa kidunia lakini wanaweka event nchini na kiingilio ilikua laki moja na watu wameeingia wengi tu sasa swali langu waimbaji wainjili tunafeli wapi kuandaa event zenye hadhi kubwa .

Tunajitahidi kuhakikisha waimbaji wa Gospel wanainuka