NENOUPDATES

VIDEO: Corona Itakwisha Msiogope – Pastor Tumaini Chanjarika -Gospoa

Tumaini Chanjarika ni mchungaji kiongozi katika kanisa la TAG Rejoice Worship Centre lililopo Kimara Stop Over.

Amekuwa akihubiri na kufundisha maneno ya Mungu sehemu mbalimbali nchini Tanzania na nje ya Nchi.

Pia amekuwa akifundisha kwenye vipindi vya Radio. Karibu Ujifunze.

Unaweza kumfuata kwenye mitandao yake ya kijamii kwa kutafuta majina yake.

Tags

Related Articles

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker